Friday 29 April 2016

Lemonade ya Beyonce kuzua Gumzo kuhusu Mahusiano ya Jay z na Beyonce Kwenye Mitandao


‘Lemonade’ ya Beyonce kuzua gumzo kuhusu mahusiano ya Jay z na Beyonce kwenye mitandao. Tetesi kuhusu Beyonce na Jayz kwenye uhusiano wao baada ya Beyonce kuachia Albamu yake Mpya ‘Lemonade’,Umezua utata mkubwa kwenye mitandao ya kijamii,huku watu wengi 

Wakidhania Wawili hao iwapo watafikia mwisho wao,QueenB alitoa album hiyo mwishoni Mwa Wiki iliyopita,na kuna wimbo kwenye album hiyo uliokuwa ukigusia ‘Mchepuko’ wa kaka Jigga na kutokuelewana na mumuwe wimbo unaitwa ‘Sorry’ .

Watu Wengi Walidhania ndio Mwisho kati ya Jaybee,Ila katikati ya wiki hii wawili hao Walionekana pamoja wakiwa Wenye furaha Tofauti na watu walivyo Dhania kwenye mitandao.

Inasemekana album hiyo kuanzia itoke imeingiza jumla ya Dola za Kimarekani Millioni 3 Ambazo zina inufaisha kampuni ya Mumewake Beyonce,Jay z ijulikanayo kama Tidal,ambayo ina haki Miliki ya Album hiyo Mpya ya QueenBey.

No comments:

Post a Comment