Monday 25 April 2016

Magazeti ya leo 26 april 2016






 


 Katika Habari za Magazeti ya leo Jumanne april 26 2016 Habari ambazo Zimepewa Nafasi kubwa Ni ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Jana alipokabidhi Ripoti yake Bungeni

Kuhusu Ufisadi wa Kutisha katika Taasisi Mbalimbli za Serikali na Vyama vya Siasa kutopeleka Mahesabu yao ikiwa ni Chama kimoja tu CUF ambao Wamepeleka Mahesabu yao
Je kwa Hali kama hii Ufisadi Umekithiri na Hatutaweza kupiga Hatua Kimaendeleo Katika Taifa leo la Tanzania












No comments:

Post a Comment