Monday 25 April 2016

Mbwana Samatta amezidi Kushangaza Dunia

Bora ya Mbwana Samatta kuliko Olivier Giroud Utaweza kushangaa kwanini imekuwa hivi, Mashabiki wa Arsenal kila Uchwao Wanalalamika kuhusu uwezo wa Mshambuliaji huyo Ambae Ameshindwa kuaminiwa na kila Mmoja wa Mashabiki wa Timu hiyo.

Giroud Mara yake ya Mwisho kufunga  ilikuwa sare ya 3-3 katika ligi na Jumapili amefikisha Mechi 14 bila ya kufunga Goli lolote katika Ligi Kuu England.

Watu Walikuwa wanajiuliza kwanini Hasemwi Mara nyingi Vyombo hivyo Vimekuwa Vikilaumu Haswa Wachezaji wa kigeni Wakichemka Sasa ndio Wameanza aRsmi kuandika Habari Zake na Bahati Nzuri ligi inaisha Vinginevyo angevurugwa kabisa na Vyombo hivyo, Alexis Sanchez Ametoka Majeruhi katika Mechi Tano kafunga Magoli 4.

No comments:

Post a Comment