Monday 25 April 2016

Lady Jay Dee:Ray c Anahitaji Marafiki Sahihi


 

Mama wa nyimbo ya ndi ndi ndi ambayo inafanya vizuri katika Vituo Mbalimbali vya Redio Stesheni

Amezungumzia Suala linalomsibu Msanii wa kike aliyefanya Vizuri Ray Rehema Chalamila kipindi  Ambapo amesema anahitaji Marafiki Sahihi kwa kipindi hiki

Ray c ambaye amejihusisha na Madawa ya kulevya awali Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne kumsaidia kwa kumpatia Tiba

No comments:

Post a Comment