Monday 25 April 2016

Masoud Kipanya Kusikika Jumatano hii Power Breakfast Clouds fm


 

Mapinduzi Makubwa Yameendele kutokea katika Redio hizi Mbili  EFM na Clouds fm wa kukamata Wakongwe katika Tasnia ya Utangazaji na Kuwapa Pesa Nyingi huku Wengine Wakilipwa kawaida na hali hii Huenda Vituo hivi Viwili Vikapoteza Wafanyakazi Wengine 
kwa kuhama kuona hawa Wanaolipwa pesa nyingi ndo Bora kuliko sisi

Jumatano hii April 27 2016 Wasikilizaji wa CloudsFM Watamsikia kwa Mara ya kwanza Mmoja kati ya Watangazaji hodari wa wakati wote ambaye alipata Umaarufu sana kupitia Vipindi Mbalimbali vya CloudsFM toka kitambo hicho.

CMG (Clouds Media Group) imethibitisha kwamba Mtangazaji Masoud Kipanya anarejea kufanya kazi na atasikika kwenye show ileile ya POWER BREAKFAST akiungana na Barbara Hassan na Fredwaa ikiwa ni Baada ya Gerald Hando na PJ kumaliza Mkataba wao na CMG.

 

No comments:

Post a Comment