Makamu Wa Rais Mhe. Samia Akutana Ujumbe Kutoka Olam Tanzania Limited Leo Ikulu Jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Akizungumza na Ujumbe
kutoka Olam Tanzania Limited wakati ujumbe huo Ulipomtembelea Makamu wa
Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Februari 04, 2016.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Akizungumza na Ujumbe
kutoka Olam Tanzania Limited wakati ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa
Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Februari 04, 2016.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati Akiwa katika
picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Olam Tanzania Limited wakati Ujumbe huo Ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo
Februari 04, 2016.
No comments:
Post a Comment