Saturday, 13 February 2016

Mashindano ya Ngumi ya Taifa Yamalizika leo Katika Viwanja vya Tanganyika Packers

Rais wa Shilikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT Mutta Rwakatare katikati akimkabidhi Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila ‘Super D’ mchango uliotolewa na wadau mbalimbali kwa ajili ya lambilambi ya marehemu Mohamed Chibumbuli kilichotokea jana Mkoa wa Mtwara Wilaya ya Masasi kushoto ni katibu Mkuu wa shirikisho hilo Makole Mashaga .
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ndondi Tanzania (BFT), Makore Mashaga kushoto akipeana mkono na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ baada ya kumkabidhi fedha za lambilambi zilizotolewa na wadau mbalimbali wakati wa mashindano ya ngumi ya taifa yaliyofanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe .
Bondia Selemani Kidunda kushoto akimshambulia Mstafa Mtoro wakati wa mashindano ya taifa yaliyomalizika katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam Kidunda alishinda kwa K.O ya raundi ya kwanza .

Msanii wa filamu, Shamsa Ford  kushoto akipambana na MTANGAZAJI WA TIMES FM, KHADIJA SHAIBU “DIDA’ wakirushiana makonde wakati wa mashindano ya taifa ambapo wao walionesha umwamba

Msanii wa filamu, Shamsa Ford  kushoto  na MTANGAZAJI WA TIMES FM, KHADIJA SHAIBU “DIDA’ wakinyoshwa mikono juu baada ya mpambano wao wakati wa mashindano ya taifa ambapo wao walionesha umwamba
Msanii wa filamu, Shamsa Ford  kushoto  na MTANGAZAJI WA TIMES FM, KHADIJA SHAIBU “DIDA’
Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis akimvisha medali ya dhaabu bondia Leonard Machichi wakati wa mashindano ya taifa
Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis akimvisha medali ya dhaabu kwa bondia Zulfa Macho kulia ni bondia Halima Ramadhani wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ndondi Tanzania (BFT), Makore Mashaga
Bondia Ismail Gaitano kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mwalami Salum wakati wa mashindano ya taifa yaliyomalizika katika viwanja vya Tanganyika Packers Gaitano alishinda mpambano uho.

Kazi Za  Upanuzi Wa  Mtambo Wa Ruvu Juu ZikiwaKatika Hatua ZA Mwisho ZA Uwanja

indexTaswira ya Kazi za upanuzi wa Mtambo wa Ruvu juu zikiwa katika hatua za mwisho za ujenzi.

WAZIRI JENISTA MHAGAMA AFUNGA MKUTANO WA 25 WA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF


Wadau wa Mfuko huo wakimsikiliza mgeni rasmi, Waziri Jenista Mhagama.

Wadau wa Mfuko huo wakimsikiliza mgeni rasmi, Waziri Jenista Mhagama.

Mkutano Mkuu wa 25 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, ukiendelea siku ya pili kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2016 baada ya kufunguliwa jana na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Ashatu Kijaji, ambapo leo umefungwa na Waziri wa Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Walemavu,
Jenista Mhagama.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viajana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Mkutano Mkuu wa 25 wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, Meneja wa Rasilimali Watu na Utawala wa Taasisi ya Teknolojia, Dar es Salaam, (DIT) Sebastian Ndahani, wakati wa ufungaji wa Mkutano huo uliomalizika leo, Feb 12, kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya ya Usimimamizi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii, Juma Muhimbi, kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhani Kijjah.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viajana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Mkutano Mkuu wa 25 wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, Ofisa wa fedha wa Benki ya Maendeleo TIB, Caroline Lundo, wakati wa ufungaji wa Mkutano huo uliomalizika leo, Feb 12, kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, (wa pili kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya ya Usimimamizi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii, Juma Muhimbi, kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhani Kijjah.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viajana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Mkutano Mkuu wa 25 wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya Twiga Security, Joseph Nyahande, wakati wa ufungaji wa Mkutano huo uliomalizika leo, Feb 12, kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, (wa pili kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya ya Usimimamizi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii, Juma Muhimbi, kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhani Kijjah.

Ufisadi Wa  Shilingi Milioni 20 Wazua Tafrani MsikiniJIJINI Dar es salaam

Waumini wa dini ya Kiislam wakizozana nje ya Msikiti wa Masjidi Pelapela uliopo eneo la Mtakuja Vingunguti jijini Dar es Salaam katika swala ya Ijumaa leo mchana, baada ya kutokea tafrani ya waumini hao dhidi ya viongozi wao ambao wanatuhumiwa kutafuna fedha zaidi ya sh.milioni 20 walizochanga kwa ajili ya ujenzi wa msikiti mpya.
Muumini wa Msikiti huo, Mbarouk Mohamed Makame (kushoto), akizungumza kuhusu fedha hizo zinazodaiwa kutumiwa vibaya na viongozi wao. Kulia ni mmoja wa wazee wa msikiti huo, Mzee Selasela.

No comments:

Post a Comment