Wednesday 24 February 2016

Tume ya Mipango yatembelea Shirika la Maendeleo na Viwanda Vidogo Vidogo(Sido)

SONY DSC
Bw. Omar Jumanne Bakari (wa tatu kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo (SIDO) akitoa maelezo kwa timu ya wataalam kutoka Tume ya Mipango ikiongozwa na Bibi. Florence Mwanri Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kuhusu ufanisi wa mashine ya kutengenezea sabuni katika kiwanda kidogo cha sabuni ambazo soko lake linapatikana jijini Dar es Saalam na mikoa ya jirani.
SONY DSC
Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango (wa tatu kulia) akipata maelezo kutoka kwa Bw. Said Mjuli Mkurugenzi Mtendaji, kuhusu utengenezaji wa batiki katika moja ya viwanda vidogo vinavyofanya kazi chini ya mwamvuli wa SIDO. Wengine pamoja nae ni wataalam kutoka Tume ya Mipango na SIDO.
SONY DSC
Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, pamoja na timu ya maofisa kutoka Tume ya Mipango wakipata maelezo kutoka kwa mtaalamu Bw.George Buchafwe kuhusu utengenezaji wa mazulia kwa kutumia malighafi

No comments:

Post a Comment