Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri
Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akipokea Tuzo kutoka kwa
Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi.
Jenifer Shigole aliyoshinda katika tuzo za African entrepreneurship
Awards zilizofanyika nchini Morocco na kuibuka mshindi wa kwanza katika
kipengele cha masuala ya Elimu na Mazingira na kujishindia mtaji wa dola
laki moja na nusu.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu
Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akipokea Tuzo kutoka kwa
Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi.
Jenifer Shigole aliyoshinda katika tuzo za za African entrepreneurship
Awards zilizofanyika nchini Morocco na kuibuka mshindi wa kwanza katika
kipengele cha masuala ya Elimu na Mazingira na kujishindia mtaji wa dola
laki moja na nusu.Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Vijana
Bi.Venerose Mtenga na wa kwanza kushoto ni Meneja wa Programu wa kampuni
ya Malkia Investment Bw.Juma Rajabu.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu
Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akizungumza na vyombo vya
habari kuhusu Tuzo aliyoshinda Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya
Malkia Investment ltd Bi. Jenifer Shigole katika tuzo za African
entrepreneurship Awards zilizofanyika nchini Morocco na kuibuka mshindi
wa kwanza katika kipengele cha masuala ya Elimu na Mazingira na
kujishindia mtaji wa dola laki moja na nusu.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu
Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akipokea cheti alichoshinda
Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi.
Jenifer Shigole katika tuzo za African entrepreneurship Awards
zilizofanyika nchini Morocco na kuibuka mshindi wa kwanza na kujishindia
mtaji wa dola laki moja na nusu.
Mjasiriamali na Mkurugenzi wa
kampuni ya Malkia Investment ltd Bi. Jenifer Shigole Bi. Jenifer Shigole
akiwaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani) tuzo aliyoshinda
nchini Morocco na kufanikiwa kushika nafasi ya kwanza katika kipengele
cha masuala ya Elimu na Mazingira na kujishindia mtaji wa dola moja na
nusu. Kushoto ni Meneja wa Programu wa kampuni ya Malkia Investment
Bw.Juma Rajabu.
Picha na Daudi Manongi-MAELEZO.
No comments:
Post a Comment