Thursday, 15 December 2016

Habari Picha

dere
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMSP) mara baada ya kukutana na viongozi hao kwa lengo la kujadili masuala ya kiutendaji ofisini kwake leo.
 dere-1

No comments:

Post a Comment