Aliyekaa kulia Waziri wa Nchi
ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba,
akimsikiliza katibu Mkuu mpya wa Ofisi hiyo Professor Faustin Kamuzora
walipokuwa katika mkutano wa pamoja na watumishi wa Ofisi hiyo jijini
Dar es Salaam.
Aliyesimama katikati ya Sehemu ya
Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Injinia Kamukuru Afisa Mazingira
Mwandamizi, akiongea wakati wa mkutano wa watumishi wa Ofisi hiyo na
Waziri wa Nchi anayeshughulikia masuala ya Muungano na Mazingira Mhe.
January Makamba hayupo Pichani, mkutano huo ulifanyika jijini dare s
Salaam.
Picha na Ofisi ya makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment