MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AMOS MAKALLA -AKAGUA MPAKA WA TANZANIA NA KENYA
Aidha Mkuu wa Mkoa ameshiriki kuteketeza mitambo 6 ya kutengeneza pombe haramu ya Gongo, lita 140 za gongo, pipa 33 za maloweko ya gongo
Pia amewataka wananchi kuacha unywaji na upikaji gongo.
MWENYEKITI WA CCM, KIKWETE AOMBA WAZEE KUUNGA MKONO UONGOZI WA RAIS MAGUFULI
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akilakiwa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye.baada
ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Singida leo, kaba ya kukutana na
kuzungumza na wazee wa Singida Mjini. Kulia ni Kaimu Katibu wa CCM Mkoa
wa Singida, Mary Maziku.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA
MATUKIO BLOG
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akisubiri kuvalishwa skafu baada ya
kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Singida leo. Kushoto ni Mama Salma
Kikwete. na Kulia ni Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Singida Mary Maziku na
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye.
Chipukizi wakimvalisha Skafu Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akienda katika Ofisi ya CCM mkoa wa Singida, akiwa na Mkewe Mama Salma
No comments:
Post a Comment