Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na watumishi wa serikali na Halmashauri ya wilaya ya Arumeru
kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Arusha Desemba 17, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya watumishi wa
halmashauri ya wilaya ya Arumeru wakimsikiliza waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya
ya Arusha, Desemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea taarifa ya maendeleo ya wilaya ya Arumeru baada ya kusomewa
taarifa hiyo na Mkuu wa wilaya hiyo, Alexander Mnyeti kwenye ukumbi
wa halmashauri ya wilaya ya Arusha Desemba 17, 2016. (Picha na Ofisi
ya Wairi Mkuu)
No comments:
Post a Comment