Friday, 9 December 2016

Waziri Mwijage afungua maonesho ya Viwanda vya Tanzania


mai
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Bw. Charles Mwijage akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa maonesho ya kwanza ya Viwanda vya Tanzania  katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba leo Jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yataliyoanza tarehe 07 Desemba na yanayotarajiwa kuhitimishwa Desemba 11 HUKU Kauli mbiu yake ikiwa “Tanzania Tunajenga Viwanda.”
mai-1
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Bw. Edwin Rutageruka akisisitiza jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa maonesho ya kwanza ya Viwanda vya Tanzania  katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba leo Jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yataliyoanza tarehe 07 Desemba na yanayotarajiwa kuhitimishwa Desemba 11 HUKU Kauli mbiu yake ikiwa “Tanzania Tunajenga Viwanda.”
mai-2
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Bw. Charles Mwijage akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Maonesho hayoViwanda vya Tanzania mara baada ya kufungua rasmi maonesho hayo leo Jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yataliyoanza tarehe 07 Desemba na yanayotarajiwa kuhitimishwa Desemba 11 HUKU Kauli mbiu yake ikiwa “Tanzania Tunajenga Viwanda.”Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Aldoph Mkenda.
mai-3
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Bw. Charles Mwijage  akimsikiliza Meneja Utawala wa Kiwanda cha Mafuta ya Pamba cha Kahama Oil Mills Bw. Bryason Edward wakati wa maonesho ya viwanda vya Tanzania leo Jijini Dar es Salaam.
mai-4
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Bw. Charles Mwijage  akiteta jambo na msaanii wa Kundi la Mizengwe alipotembelea mmoja ya banda katika maonesho ya Viwanda leo Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment