Mwanzilishi wa Jamiiforum, Maxence Melo, Amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi kisutu
Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo
akiongozwa na Askari Polisi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es salaam leo, kusomewa mashtaka
yanayomkabili.
No comments:
Post a Comment