Mbunge Sugu apata ajali, mtoto miaka 15 afariki kwenye ajali hiyo
Taarifa zilizoripotiwa na kituo cha runinga cha ITV leo December 17 2016
zinasema kuwa mbunge wa Mbeya mjini ‘CHADEMA’, Joseph Mbilinyi
amenusurika kifo katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Iyunga jijini
Mbeya baada ya gari lake kufeli break na kumgonga mtoto ’15’ ambaye
amefariki wakati akipelekwa hospitali.
Aidha taarifa hiyo inaeleza kuwa askari polisi wanne wamejeruhiwa baada
ya kupata ajali wakati wakielekea kwenye ajali hiyo aliyopata mbunge
Joseph Mbilinyi ‘sugu’
Gari hilo lilikuwa linaendeshwa na dereva wake, Gabriel Andrew (43) ambaye anashikiliwa na polisi.
No comments:
Post a Comment