Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Balozi wa Japani
nchini Tanzania, Mhe. Masaharu Yoshida (hayupo pichani) alipomtembelea
ofisini kwake leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya
Tanzania na Japani hususan suala la wataalamu wa kujitolea wanaokuja
kufanya kazi nchini katika sekta mbalimbali.
Balozi wa Japani nchini Tanzania,
Mhe. Masaharu Yoshida (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) (hayupo pichani) alipomtembelea ofisini kwake leo
kuzungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Japani
hususan suala la wataalamu wa kujitolea wanaokuja kufanya kazi nchini.
Kushoto kwake ni Afisa wa Ubalozi wa Japani nchini, Bi. Yoko Kamiyana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) (wa pili kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Japan
nchini Tanzania Mhe. Masaharu Yoshida (wa pili kushoto) alipomtembelea
ofisini kwake leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya
Tanzania na Japani hususan suala la wataalam wa kujitolea wanaokuja
kufanya kazi nchini katika sekta mbalimbali.
No comments:
Post a Comment