Vera Sidika aonyesha nyumba yake na gari analomiliki ni ‘kufuru’
Kupitia mtandao wa Instagram, Vera ameuonyesha mjengo wa kifahari
anaoumiliki pamoja na gari aina ya Range Rover na kuwaacha mashabiki
mdomo wazi.
“
I still remember the days I prayed for the things I have now. Just
believe in the person you want to be and then work hard for it. Because
the Limit to your abilities is where you set them. Have a productive
week ahead. 👑QVB👑,” aliandika Vera kwenye picha aliyoiweka kwenye
mtandao huo.
Hatua hiyo ya mrembo huyo kuonyesha mali zake hizo imeonekana ni kama amemkejeli hasimu wake Huddah Monroe.
No comments:
Post a Comment