Monday 28 November 2016

Ziara ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi mkoani Kigoma

lukb1
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwasili uwanja wa ndege wa Kigoma

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi awasili Mkoani Kigoma kwa Ziara ya siku tatu za utatuzi wa migogoro ya ardhi.
lukb2
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akipokelewa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe.Brigedia Jenerali Emanuel Maganga.
lukb3
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akisalimiwa Mbunge wa Kigtoma Mjini Mhe. Zitto Kabwe.

No comments:

Post a Comment