Thursday 24 November 2016

Lady Gaga amtetea Kanye West

Lady Gaga amewaomba watu waoneshe upendo kwa Kanye West katika kipindi kigumu alichonacho.
Ameandika kwenye Twitter kuwa licha ya kutounga mkono vitendo vya rapper huyo, amemsifia kwa ujasiri wake wa kukatisha ziara yake ili kushughulikia mambo yanayomsibu.
“It’s not funny to joke about anyone’s possible or not possible mental illness, this is a sensitive time for many. Let’s be kind & loving. ❤️,” ameandika Gaga.
“While I don’t agree with everything he does I hope the public shows compassion and ❤️for @kanyewest and each other. One love. One Race,” ameongeza kwenye tweet nyingine.

“@kanyewest i support & love u brother, I see in you bravery & courage to stop this tour & take care of YOU. You are a GREAT artist 🎨💋.”
Jumatatu hii, Kanye West alilazwa kwenye hospitali huko Los Angeles kutokana na matatizo ya kiakili yaliyotokana na kuchoka sana na kutopata usingizi wa kutosha.

No comments:

Post a Comment