Monday 28 November 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu

mchec1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji  wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu kwenye chumba cha watu mashuhuri cha uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere jijini  Dr es salaam Novemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mchec2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu kwenye uwanja wa ndge wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment