Thursday 24 November 2016

Ronaldo na Bebe wake mpya

Ronaldo na mpenzi wake huyo mpya wameonekana mjini Paris, Ufaransa na kuzua gumzo kubwa, jana.
Lakini kilichowashangaza wengi zaidi ni Ronaldo kuvaa nguo zilizomficha akionekana alilenga kukwepa kujulikana.
Usiku wa kuamkia leo, licha ya kuwa na mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya, gumzo la mpenzi mpya limeonekana kuchukua nafasi kubwa.

No comments:

Post a Comment