Wednesday 23 November 2016

Marekani yatahadharisha Raia wake

Marekani yatoa ilani ya tahadhari kwa raia wake barani Ulaya.
Marekani yatoa tahadhari kwa raia wake Ulaya
Marekani imetoa tahadhari kwa raia wake wanaoishi barani Ulaya kwa kuhofia uwezekano wa mashambulizi katika sikukuu za mwisho wa mwaka.
Tangazo lililotolewa na serikali ya Marekani limetoa tahadhari kwa raia wake barani na kusema kuwa upo uwezekano wa kutokea mashambulizi ya kigaidi katika sikukuu za mwisho wa mwaka.

Kwa mujibu wa tangazo hilo wanamgambo wa Daesh na  al Qaida wanajitaarisha kuendesha mashambulizi katika sikukuu hizo.

No comments:

Post a Comment