. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), itaanza
kufanya upasuaji kwa watoto wasuozungumza na wasiosikia kwa ajili ya
kuwawekea kifaa maalum cha kuweza kusikia na kuongea.Amesema wagonjwa hao wamekuwa wakitibiwa nje ya nchi. Amesema baada ya kuanza kutolewa kwa huduma hiyo watoto waliozaliwa wakiwa hawasikii wa kuongea wataweza kufanya hivyo.
Amesema gharama kwa huduma hiyo nchini India inafikia Sh100 milioni wakati hapa nchini itakuwa pungufu kwa kati ya asilimia 40 hadi 50.
No comments:
Post a Comment