Baadhi ya mawaziri na wabunge
katika picha mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya bunge kuhudhulia
mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 7,
2016.
Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Mussa Azan Zungu akitoa taarifa kwa wabunge kuhusu kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge Mhe. Samwel Sitta.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi
na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za
wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma
Novemba 7, 2016.
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii
Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akijibu hoja mbalimbali za
wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma
Novemba 7, 2016.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt Susan Kolimba akijibu hoja
mbalimbali za wabunge katika mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea
Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji
Mhe. Gerson Lwenge akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano
watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi Mhe. Hamadi Massauni akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika
mkutano watano wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7,
2016.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.
George Masaju akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano watano
wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim majaliwa akijadiliana jambo na
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju katika mkutano watano
wa Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni
Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia wambura akifuatilia mkutano watano wa
Bunge la 11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.
George Masaju(kulia) Waziri wa Elimu Sayansi na teknolojia Mhe. Prof
Joyce Ndalichako(katikati) na Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Mhe.
Jenista Mhagama wakijadiliana jambo wakati wa mkutano watano wa Bunge la
11 linaloebdelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
Picha zote na Idara ya Habari MAELEZO.
No comments:
Post a Comment