Dar es Salaam: Upepo umebadilika! Aliyekuwa kigogo serikalini katika
idara nyeti kabla ya ‘kutumbuliwa’ na kufikishwa Mahakama ya Kisutu
jijini Dar kwa Tuhuma za kughushi hundi na kujichotea fedha kwenye Ofisi
ya Waziri Mkuu Ambaye aliwahi kudaiwa kuwa mwandani wa staa wa Bongo,
Wema Isaac Sepetu, Clement Kiondo ‘CK’ au Kigogo wa Wema amenaswa laivu
akichoma na kuuza mishikaki.Saturday, 9 April 2016
Upepo Umebadilika Baada ya Boss aliyewahi Kutoka na Wema na kajala kukutwa anachoma Mishikaki
Dar es Salaam: Upepo umebadilika! Aliyekuwa kigogo serikalini katika
idara nyeti kabla ya ‘kutumbuliwa’ na kufikishwa Mahakama ya Kisutu
jijini Dar kwa Tuhuma za kughushi hundi na kujichotea fedha kwenye Ofisi
ya Waziri Mkuu Ambaye aliwahi kudaiwa kuwa mwandani wa staa wa Bongo,
Wema Isaac Sepetu, Clement Kiondo ‘CK’ au Kigogo wa Wema amenaswa laivu
akichoma na kuuza mishikaki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment