Kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge wa Jimbo la Nyamagana iliyofunguliwa na aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana Ezekiah Wenje (CHADEMA) Dhidi ya Mbunge wa sasa wa Nyamagana Stanslaus Mabula (CCM) ilikuwa ikiendelea katika Mahakama Kuu Mwanza Ambapo Ezekiah
Wenje alifungua kesi hiyo akipinga matokeo yaliyotangazwa na Tume ya
Taifa ya Uchaguzi (NEC) yakimpa ushindi Mbunge wa sasa, Stanslaus
Mabula.
April 08 2016, Maamuzi ya kesi hiyo Yametangazwa ambapo Stanslaus Mabula ameshinda kesi Hiyo, Baada ya kuonekana Upande wa Madai Hauna Ushahidi Unaokidhi, kuithibitishia Mahakama.
No comments:
Post a Comment