Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Balozi Amina Salum Ali kuwa Waziri wa Biashara,
Viwanda na Masoko katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri
iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi
Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Haroun Ali
Suleiman kuwa Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais katiba ,Sheria,Utumishi wa
Umma na Utawala Bora,katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri
iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi
Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha
Mhe,Mohammed Aboud Mohammed kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili
wa Rais katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika
katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid
Yahya Mzee,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Issa Haji Ussi
Gavu kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri
iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi
Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Balozi Ali Abeid
Karume kuwa Wazi wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji katika
hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja
vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya
Mzee,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Hamad Rashid
Mohamed kuwa Waziri wa Kilimo,Mifugo,Maliasili na Uvuvi katika
hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja
vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya
Mzee,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Haji Omar Kheir
kuwa Wazir wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ katika
hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja
vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya
Mzee,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Mohammed Ahmed
Salum kuwa Naibu Wazi wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji katika
hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja
vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya
Mzee,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Said Soud Said
kuwa Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum
katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika
viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya
Mzee,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Lulu Msham
Abdulla kuwa Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo,Maliasili na Uvuvi katika
hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja
vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya
Mzee,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Mmanga Mjengo
Mjawiri kuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali katika hafla ya
kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya
Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,[Picha
na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Juma Ali Khatib
kuwa Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri Asiekuwa na Wizara Maalum
katika hafla ya kuapisha Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika
viwanja vya Ikulu,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya
Mzee,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha
ya pamoja na Manaibu Mawaziri wa Wizara mbali mbali (waliosimama) pamoja
na Viongozi Wakuu baada ya kuwaapisha Wajumbe wapya wa Baraza la
Mawaziri kwa kipicha pili cha Uongozi wake katika hafla ya kuapisha
Baraza jipya la Mawaziri iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu, [Picha

Mradi Wa Kaizen Kutoka Japan Kukuza Uzalishaji Na Ubora Wa Bidhaa Nchini
Waziri wa Viwanda na Biashara Mh.
Charles Mwijage akizungumza na kukaribisha Ujumbu wa Wataalamu kutoka
nchini Japani katika mradi wa ushauri wa kuwekeza katika Rasirimali
watu Na vitendeakazi ili kuzalisha kwa tija na ubora wa bidhaa kupitia
mradi wa KAIZEN ili kuwekeza Zaidi kwa namna unavyozalisha na kufanya
kazi kwa tija, wakati wataalamu hao walipokutana na Waziri huyo
wataalamu mbalimbali wa Wizara ya Viwanda na Biashara katika kikao
kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo mwishoni mwa
wiki.
Waziri Mwijage amesema wataalamu
hao wanashauri mambo mengi katika uzalishaji wa bidhaa na kilimo kama
vile kuwapa uelewa zaidi wataalamu na wajasiriamali wenyewe ili kuwekeza
katika Viwanda na kilimo kwa tija na ubora ili kufikia malengo ya
kuwafanya watu kuwekeza kwa tija na Ufanisi, Ukielewa namna nzuri ya
uwekezaji wenye tija na ubora utaweza kufaidika na uwekezaji wako bila
kutumia nguvu na gharama kubwa sana bila mafanikio.
Katika picha kulia ni Profesa
Tetsushi Sonobe Makamu wa rais wa Shirika la GRIPS la Japan na katikati
ni Profesa Toshio Nagase Mwakilishi wa shirika la JICA nchini
Tanzania.
Profesa Toshio Nagase Mwakilishi
wa shirika la JICA nchini Tanzania akitoa utambulisho wa Ujumbe
aliofuatana nao katika mkutano huo uliofanyika katika Wizara ya Viwanda
na Biashara Mwishoni mwa wiki.
Profesa Tetsushi Sonobe Makamu
wa rais wa Shirika la GRIPS la Japan akiwasilisha maelezo
ya mradi huo kwa wataalamu wa Wizara ya Viwanda na biashara.
Bw. Takao Kikuchi Mshauri Mkuu wa mradi
wa KAIZEN nchini akichangia jambo katika Mkutano huo uliohudhuriwa na
wataalamu mbalimbali kutoka wizara ya viwanda na biashara na Japan.
Wataalamu mbalimbali kutoka Shirika la Maendeleo la Japan JICA na Mradi wa KAIZEN wakifuatilia mazungumza katika mkutano huo.
Wataalamu kutoka Wizara ya
Viwanda na Biashara wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa wataalamu
wa Japan wakati mkutano huo ukiendelea.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mh.
Charles Mwijage akizungumza kwa msisitiza wakati Alipokuwa akielezea
mambo mbalimbali kuhusu mradi wa KAIZEN unaoendeshwa na wataalamu kutoka
nchini Japan.
No comments:
Post a Comment