Monday, 11 April 2016

Gardner G Habashi akiwa na Mwanaye Karin


Mtoto wa kike  wa mtangazaji  Gardner G Habash anayeitwa Karin ni moto wa kuotea mbali kwa urembo na mwonekano alionao.Ni mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mbeya.

No comments:

Post a Comment