Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli,
mchana huu ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mama Anna
Kilango Malecella, kwa kdanganya kuwa Mkoa wake wa Shinyanga hauna
wafanyakazi hewa.
Pia amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mkoa huo.
No comments:
Post a Comment