Bondia Anthony
Joshua amesema sasa macho na akili zake anazielekeza kwa Bondia Tyson
Fury hii ni Baada ya kushinda Mkanda wa IBF wa Dunia uzani wa
Heavyweight Siku ya Jumamosi na katika Raundi ya Pili ya Mtoano ya Dhidi
ya Mpinzani Charles Martin.
No comments:
Post a Comment