Tuesday, 8 November 2016

Waziri Mwijage: wekezeni kwenye kinywaji cha Gongo

Serikali yaitaka sekta binafsi kuwekeza katika kinywaji aina Gongo ili kurasimisha kinywaji hicho na kiwe salama kwa matumizi.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage alipokuwa akijibu maswali ya Wabunge


No comments:

Post a Comment