Sunday, 6 November 2016

Spika mstaafu wa Bunge na Waziri Mwandamizi Mhe. Samuel Sitta amefariki Dunia nchini Ujerumani

  Aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge na Waziri Mwandamizi Mhe. Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko Ujerumani akiwa katika matibabu 
 Kiongozi huyo amefikwa na mauti saa 7:30 kwa muda wa Nchini Ujerumani alikokuwa akitibiwa Ugonjwa wa Saratani ya Tezi Dume.

No comments:

Post a Comment