PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
Mwenyekiti wa Bunge ambaye pia ni
Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu na Mbunge wa Jimbo la Mbeya
Mjini, Joseph Mbilinyi wakisikiliza kwa makini mada kuhusu uboreshaji wa
elimu nchini.
Washiriki wakiwa katika mkutano
huo wa kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya elimu
nchini na jinsi ya kuziboresha
No comments:
Post a Comment