Bulaya ambwaga Wasira kesi ya uchaguzi Bunda
Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Bulaya ameibuka mshindi
katika kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na wanachama wanne wa CCM pamoja
na aliyekuwa mgombea wa ubunge wa jimbo hilo(CCM) Steven Wassira.
Katika kesi hiyo, wanachama hao walidBi kuwa uchaguzi huo haukufuata
sheria na taratibu na mgombea wa CCM(Wassira) aliomba kura zihesabiwe
upya lakini akanyimwa na akanyimwa pia nakala ya matokeo.
No comments:
Post a Comment