Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia) akijadiliana jambo na Balozi
wa Uingereza hapa Nchini Sarah Cooke (Kushoto), walipokutana Jijini Dar
es Salaam leo hii. Katikati ni Bw. Lord Clire Hollich.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia) akisisitiza jambo kwa Balozi
wa Uingereza hapa Nchini Sarah Cooke (Kushoto), walipokutana Jijini Dar
es Salaam leo. Katikati ni Bw. Lord Clire Hollich.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia), akipokea taarifa ya upembuzi
yakinifu kuhusu uwekezaji katika miundombinu ya Madaraja kutoka kwa Bw.
Lord Clire Hollich (Kushoto) wa Ubalozi wa Uingereza.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia), akipokea taarifa ya upembuzi
yakinifu kuhusu uwekezaji katika miundombinu ya Madaraja kutoka kwa Bw.
Lord Clire Hollich (Kushoto) wa Ubalozi wa Uingereza, katikati ni
Balozi wa Uingereza hapa Nchini Sarah Cooke.
No comments:
Post a Comment