Thursday 23 February 2017

Habari katika Picha

1
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimkaribisha ofisini kwake  Mkuu wa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa Nchini Hoyce Temu, Ikulu jijini Dar es Salaam.
2
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na  Mkuu wa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa Nchini Hoyce Temu (kushoto) aliyemtembelea Makamu leo ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam
 
3
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa Nchini Hoyce Temu mara baada ya mazungumzo, Ikulu jijini Dar es Salaam.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment