Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro kwenye
Ikulu ndogo ya Orkesimet akiwa katika ziara ya Mkoa wa Manyara, Februari
16, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea taarifa ya wilaya ya Simanjiro kutoka kwa Mkuu wa wilaya hiyo,
Mhandisi Zephania Chaula baada ya kusomewa taarifa hiyo kwenye Ikulu
ndogo ya Orkesimet akiwa katika ziara ya Mkoa wa Manyara, Februari 16,
2017.
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro,
Mhandisi Zephania Chaula akisoma taarifa ya wilaya hiyo mbele ya Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Ikulu ndogo ya Orkesimet Februari 16,
2017
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri
ya wilaya ya Simanjiro wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipozungumza nao kwenye Ikulu ndogo ya Orkesimet akiwa katika
ziara ya Mkoa wa Manyara , Febuari 16, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment