Monday 20 February 2017

Mbowe awasili kituo cha polisi kwa Mahojiano

Image result for mwenyekiti wa chadema taifaMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ameitikia wito wa Jeshi la Polisi mchana huu, katika kituo cha Polisi kati, Jijini Dar es salaam. tayari kwa mahojiano juu ya tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya zilizotolewa hivi karibuni na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda

No comments:

Post a Comment