Thursday 23 February 2017

Wanawake waruhusiwa kuvaa hijabu jeshini

Jeshi la Uturuki limetoa ruhusa kwa wanawake wote wanaotaka kuvaa hijabu jeshini.
Mwaka 2013 chama cha AK kilipiga marufuku uvaaji wa hijab kwa wale wanawake wote waliokuwa wanatumikia jeshi la Uturuki.
Sare za jeshi zimeruhusu wanawake kuvaa hijab ndani ya kofia ya wanajeshi.
Uamuzi huu umefurahisha raia wengi Uturuki.
Hata hivyo Uturuki ni kati ya nchi zinazounga mkono waislamu.

No comments:

Post a Comment