Wednesday 22 February 2017

Habari katika Picha

01Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimsikiliza Kamishna Generali Mpya wa Idara ya Uhamiaji, Dk. Anna Makakala wakati alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo. Dk. Makakala ni mara ya kwanza kufanya mazungumzo ya kiutendaji Naibu Waziri huyo tangu alipoteuliwa na Rais John Magufuli hivi karibuni.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
02
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimfafanulia jambo Kamishna Generali Mpya wa Idara ya Uhamiaji, Dk. Anna Makakala wakati alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo. Dk. Makakala ni mara ya kwanza kufanya mazungumzo ya kiutendaji na Naibu Waziri huyo tangu alipoteuliwa na Rais John Magufuli hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment