Monday 20 February 2017

Drake ajisafisha kwa Nicki Minaj

Drake ameanza kujisafisha kwa Nicki Minaj baada ya kutokuwa na mawasiliano naye kwa takriban miaka miwili.
Akiongea katika mahojiano kwenye OVOSOUND Radio na mtangazaji DJ Semtex, rapper huyo amesema hawezi kumvunjia heshima Nicki kwa njia yoyote ile na hakuwahi kumuita majina mabaya.

“My biggest focus the entire time was. I cannot disrespect Nicki Minaj or use Nicki Minaj in any way other than to lift her up. That’s not in my character. I didn’t go the route of calling him a bunch of terrible names. I just used wit and good writing, ironically enough, great writing, to win that situation,’ amesema Drake.

Rapper huyo aliwahi kutuhumiwa kumtusi Minaj wakati akiwa kwenye mahusiano na Meek Mill kwenye moja ya nyimbo zake za diss kwa rapper huyo wa Philladelphia.

No comments:

Post a Comment