Wednesday 22 February 2017

Uwekaji jiwe la Msingi la daraja la Bonga- Endanachan wilayani Babati,

1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la daraja la Bonga- Endanachan wilayani Babati,  Februari 22, 2017.  Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt, Joel Bendera na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Babati, Raymound Mushi.
2
 Baba mmoja mabaye jina lake halikupatikana akiwa amembeba mwanae kwa mtindo wa ‘Kangaroo Style’ wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza na wanakijiji  wa Singu wilayani  Babati, Februari  21, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment