Thursday 23 February 2017

Vifaa vya Wizara ya Maliasili na Utalii vimebebwa leo kuelekea Dodoma

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akiaga msafara wa magari yaliyobeba vifaa vya ofisi vya kundi la kwanza la watumishi wa wizara hiyo wanaohamia Makao Makuu ya Nchi Mjini Dodoma nje ya jengo kuu la Wizara hiyo (Mpingo House) Jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Hamza Temba - WMU)
Moja ya gari la jeshi lililokuwa limebeba vifaa vya ofisi vya watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii likiondoka rasmi makao makuu ya wizara hiyo leo kuelekea mjini Dodoma. (Picha na Hamza Temba - WMU)

No comments:

Post a Comment