Tuesday 12 January 2016

sh4
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu wakati alipowasili katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika Kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
sh5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange  katika   kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia Miaka 52 katika Uwanja wa Amaan Studium zilizofanyika leo 
sh6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein    katika   kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia Miaka 52 katika Uwanja wa Amaan Studium Zilizofanyika leo
sh7
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia Mkono Wananchi Walioshiriki  katika   kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia Miaka 52 katika Uwanja wa Amaan Studium leo akiwa katika Gari Maalum
sh8
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wananchi walioshiriki  katika   kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan Studium leo akiwa katika Gari Maalum
sh9
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein Akiteremka katika Gari Maalum Alilopanda wakati Akiwasalimia Wananchi katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia Miaka 52 katika Uwanja wa Amaan Studium leo,

No comments:

Post a Comment