Saturday 16 January 2016

Na Kalonga Kasati

CY1XLBSUsAAFOrM.jpg largeWafuasi Wa Ukawa Wakimpongeza Boniface Jacob (aliyesimama Mbele) Baada ya kushinda umeya Wa Kinondoni.
Hatimaye leo Uchaguzi wa meya wa halmashauri wa Kinondoni  Jijini Dar es Salaam Umefanyika  Ambapo Diwani wa Ubungo kutoka UKAWA, Boniface Jacob (CHADEMA) Amekuwa Meya na na Naibu Meya  Ni Diwani wa Tandale, Jumanne Amir Mbunju (CUF).
Katika Uchaguzi huo, Chadema kilipata kura 38 na CCM kura 20 Ambapo katika Unaibu Meya Cuf  kilipata kura 38 na CCM kura 20.

No comments:

Post a Comment