Monday 11 January 2016

Na kalonga kasati


sumaye 2
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Freredick Sumaye na Mama Esther Sumaye alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es salaam leo Jumatatu Januari 11, 2016.1Rais Magufuli akimuaga Sumaye.


No comments:

Post a Comment