Saturday 16 January 2016

 


Tazama Hapa Matokeo ya Kidato cha Pili 2015/16

http://www.necta.go.tz/matokeo/ftna2015/html/index.htm
Baraza la Mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi Waliofanya Mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya Wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu.

No comments:

Post a Comment