Tuesday 5 January 2016

Dr John Magufuli Amepokea Utambulisho Wa Balozi Wa Palestina leo Ikulu Jijini Dar es Salaam


MAGUFULI (4)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Balozi wa Jumuiya ya Ulaya hapa nchini Mhe. Roeland Van de  Greer  Ikulu  jijini jijini Dar es salaam leo.
MAGUFULI (5)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  akipokea Hati za Utambulisho za Balozi wa Palestina hapa nchini Mhe.  Hazem M. Shabat IkuluDar es salaam leo.MAGUFULI (6)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph  Magufuli Baada ya kupokea Hati za Utambulisho za Balozi wa Palestina  hapa nchini Mhe. Hazem M. Shabat alifanya naye mazungumzo  Ikulu jijini  Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment