Thursday 7 January 2016

Magufuli warioba ikulu na mkapa (2)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamini William Mkapa, Ikulu jijini Dar es Salaam Alipomtembelea leo.Magufuli warioba ikulu na mkapa (3)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 7,2016.Magufuli warioba ikulu na mkapa (4)
Magufuli warioba ikulu na mkapa (5)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba Ikulu jijini Dar es Salaam alipomtembelea leo.Magufuli warioba ikulu na mkapa (6)
Magufuli warioba ikulu na mkapa (7)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba Ikulu jijini Dar es Salaam Baada
Na Kalonga Kasati

No comments:

Post a Comment